
Niaje Macuzo,
Let's talk about Biz Lows!! What happens usipomake a sale for two weeks?? Coz hii ndio reality ya biz. Hapa kuna biz owner anasema story yake! Ako kwa hustle ya catering, anadai aki-make food alafu akose customers, yeye hu-end up amepana hio chakula na ana-accept losses but ana-believe one day itajipa.
What about you? Kwa hii economy, usipo-make sales what happens?

0
0
0