
Niaje maguys..ni Josh hapa ivii.Mi ni student Mku Thika 2nd year n mi hupiga hustle ya kuuza viatu na manguo latest fashions alafu pia nafanya photography. Sa mi hununua some shoes kwa particular dealer wangu at a cheaper price na mangua majackets alafu naziadvertise kwa platforms kama whatsapp ana Ig na nauzia mastudent huku shule pia ndo nipate za kwangu.Pia nafanya photoshoot around huku Thika.




0
0
0