
Niaje maguyz! So nilifungua company ya geospatial na mapping na inadeal na all sort of things from web development, kupiga land survey, data analysis na kuunda maps. Good thing about hii company, Construm Geosystems, ni eti tuko remote based asin employees wetu can work from home and still you as our client unapata quality work. Tunaappriciate freedom ya employees sana. So wasee please tusupport, mnaeza tupa referrals na Kuna referral bonuses za 5% ya project. So kama project ni mita moja uko sure na percentage yako.
Website Iko down at the moment but feel free kubrowse kwa Whatsapp catalog yetu : Message Construm Geosystems on WhatsApp. https://wa.me/254706881849
Nawarate sana wakuu.
0
0
0