Niaje majamaa. Mimi ni msanii mwenye malengo ya kuinua jamii yetu ya Kenya na Afrika mashariki kwa jumla. Nimefanya mziki wa dancehall, trap, drill, afro pop hadi hardcore hip hop. Hii hapa link ya channel yangu..
https://youtube.com/playlis...
Naomba youtube subscribers ili nifikishe kiwango cha kujitegemea so that niendelee kutoa mziki zaidi.

0
0
0