Niaje majamaa nilikua nataka kuamza biz ya gaming na kuna staff nataka muniambie .Kuset logitch narequire staff gani na gani apart from screen na inaweza nicost how much