
Niaje majamaa...Sisi tunaitwa highyield farmers na tunadeal na farming, smart farming, modern kitchen garden..na Sisi ni maexperts wa hydroponics (hydroponics ni kumeesha plants bila mchanga)nadai kuwapea ujanja yakujieka mtaana.sai vitu ni expe na lazima tujue vile tutasave ata Ile kidogo.isitoshe, ni Njaanuary.hii technology ya kumeesha vegetables Kwa gunia ni rahisi na haitai effort nyingi,(hii ndio start farming) pia haitaji space mob.manze tangu nianze kudo hivi sai nakula mboga Hadi nauzia majirani.expense yangu ni ya unga Tu na mafuta.ukidai pia kuanza nichapie ndakupeleka na mtara.kwa hayo machache...happy new year from Highyield farmers 💪

0
0
0