
Niaje mayut wenzangu. Me naitwa Philo and nme-come through coz life sai imebada kila sehemu na me Kama yut sitaki ku-idle coz i know itani-lead place haifai. Hapa Niko na Kapa tano nmekua nkijiekea ju hata job iko down na pia fame ina-look up on me. Mnaeza nijenga advice gani or any idea ya any small biz or a firm naeza Anza na i-generate profit mazee?
0
0
0