
Niaje members wezangu...leo Niko na motivation kiasi since sisi ni mayouth na tunapiga hustle different..biz inakua hard na hii time juu ya corona na doo zimepotea but inabidi tukue na strategy ili tusavive na hizi hard times...so in short ukiwa unapiga biz yoyote na unahitaji idea just talk to any member and let's help each other to pull through this hard times...
0
0
0