
Niaje mesh,
BASKETRY ART
Leo nimecome across na a very amazing Women group from Taita county, wao wanafanya kazi ya basket weaving, It's amazing how they extract sisal threads and turn them into art. Wana tumia natural plants to create dyes na ku come up an different colors. So this an amazing case where you can turn talent into business idea. Wana benefit sana kutoka kwa hiii Basketry Art.
Hapa kuna video link ya kulearn more and enjoy this amazing work. šššššššš https://youtu.be/UzT2WgcvDU...
So hapa Kenya which Clan/Community hukufurahisha na their Basketry Art yao? Share hapa kwa comments. ššš¤

0
0
0