
Niaje Mesh Community, hope Kila msee ako poa, Niko na another Business idea na ninajua inaweza saidia Msee ama pia Unaweza nipromote, Nilianza another Biz 3months ago Kama tu Vile Mesh hutuhimiza kukuwa na Several sources of income. Na ni Bizna ya Kuuza Mayai both Kienyeji na Ya grade kupitia kwa Beste yangu Anaitwa Ken alikuwa anatafuta Mayai akakosa then akaniambia nimtafutie create Moja, Baada ya kumpelekea akaniambia niwe nampa create Mbili Kila Mwezi, to cut the long story short, Saa hii nauza Create Kumi kwa Mwezi. #Unaweza anza pia hii Bizna na pia uneza ni support, Tujengane na Ideas za Bizna
0
0
0