
Niaje MESH Fam,
From my DMs: Kuna MESHer anauza Bhajia na Chipo na anatufta a reliable supplier wa high quality viazi na makaa on a weekly basis na anadai payment ni on delivery cause anaogopa kuoshwa!!
Kama uko interested, kindly reach out iko kazi😀
PS: interested persons only #IkoKaziKE
0
0
0