
Niaje MESH fam, Hope tuko sawa?😃Nimepatana na video flani pale TikTok ya dame flani anafanya biz ya importing bags from China! Anadai with 10K, una-get 40 pieces of good quality bags na msee anaweza 100K in profits!!! Nadai mni-advice kama ni real ama ni jaba?? Should I take the risk??

0
0
0