
Niaje mesh: Hope hiii wiki tutajituma vilivyo.
So leo nimecheki story na lipa na mpesa via paybills imekua Ngori kiaci Due to high transaction costs from banks to M-pesa ama from M-pesa to banks. Tukikam kwa hizi bizz ndogo itaaffect sana coz profit margin nikiacia na unaweza end up kuweka profit yako kwa transaction cost to.
"So ukiwa kwa biz yako pale mtaani unaona nipoa kulenga story na Lipa na M-pesa ??? "
Ama nipoa kukua nayo ndo usiloose customers na uweke profits zako kwa transaction cost.
Plus this will end up to increase in products price ndo watu wapate pesa ya kutransact.
Ebu share your thoughts hapo kwa comment section.👇👇👇👇👇
0
0
0