
Niaje Mesh, Hope your week Inajipa vile inafaa despite the challenges.
Hapa kuna tips za kusale "Crochet" items zako.
-
Ni kubuild strong online presence - maintain profile yako ikue active na engaging vile inafaa.
-
Picha quality ni muhimu ndo clienta wako waone what youre offering, kwa social media.
-
Nipoa pia kuengage na audience wako, hii nikama kureapond kwa questions zenye wanauliza pia, kuwa update na new designs zenye uko nazo.
-
Pia prices zako za items zako zinafaa kumatch na target customers wako, so nipoa kucalculate cost yenye umetumia kumake hiyo stuff ndo pia wewe usiende loss.
-
Kuna pia audience wako wenye wanaeza taka kujua venye umeunda hiyo sweater ama bag, so nipoa pia kuoffer tutorials za kuwaonesha the process kwa ground.
So if uko na any tip unweza ongeza hapo kwa comment section tuchanuane kwa upande wa bizz👇👇👇👇👇👇👇
