
Niaje, MESH ikona gig fiti sana!!!!!!!! Wanatafuta data collectors in Jogoo Road wachape gig. Utakua una-visit watu wamepewa loans za biz kwa business locations zao, then utajaza survey. Kufanya hii task vile inafaa, utapata training kiasi ya data collection field agent.
Wasee wa Buruburu(Nairobi) ndio hii form wasee wachangamke>https://meshlife.page.link/...

0
0
0