
Niaje Mesh,
Last time tulibonga kuhusu suits and niliona your different opinions, And naweza sema, Suits sio just a clothing thing it reflects something from craftsmanship, individuality na pia excellence flani ya mtu. It's an Artπ―
So ningependa kujua ukienda kubuy Suits huku kwa tailoring Shops What do you consider in choosing a best fabric for your suit. And how do you make sure ni cost friendly?
Kama kawaida nichanueni hapa kwa comment section. ππππππ π€

0
0
0