
Niaje mesh:
Leo acha tubonge kuhusu
"CONTENT CREATION"
Content creation huwa process ya ku generate topic ideas zenye zinaweza funza ama kuuza, promote brand ama bizz yako na pia kumake hiyo information accessible kwa audience yako kama video, blog post ama other formats for free.
Mbona content creation ni very important?. Content creating ni marketing practice kali sana coz una create free useful information to the audience alafu una attract potential customers through engagement practice.
Mostly bizz mingi zinasema almost 40% of maketers wanasema content marketing ndo main strategy yao.
So content creation ina being business growth kali sana.
Share kwa coment section ššš ššššš Why content marketing it's very important kwa business.
