
Niaje mesh: leo tunacheki kuhusu fashion and design:::::
Fashion design is the art of applying design clothing construction, and natural beauty to clothing and its accessories. It is influenced by culture and different trends and has varied over time and place. "A fashion designer huwa anacreate manguo, kama dresses, suits, pants, and skirts, and accessories like shoes and handbags, for consumers. He or she can specialize in clothing, accessory, or jewelry design, or may work in more than one of these areas.
CHALLENGES ZENYE FASHION DESIGNERS HUFACE HUKU KENYA
Kukua fashion designer hukua job fiti kabisa especially kumake sure kila msee ako dressed up to the event na anakaa fiti kabisaa. So kuna challenges mostly fashion designers huwa wanaface huko nje na mostly huwa hawaoengei kuhusu hizo challenges.
-
Challenge ya kwanza ni customers hawana full confidence kwa fashion designers – unapata in order for a fashion designer akue na full trust kutuoka kwa customer lazima aweke double effort, this because kuna fashion designers wengi wenye walifail clients wengi that’s why inakua hard kuprove kwa client.
-
Pressure mob kwa fashion designers: Hi hufanya designer a work over time in order ku fulfill hizo deadlines za clients. Ukikosa kufulfill customers demands inafanya bizz ina godown na pia performance.
-
Customers kukosa kukua satisfied: Designers wengi hukua passionate na job yao, Wao hukua na furaha wakiona craft zao ziko appreciate and happy customers pia. However sometimes inakua ngumu sana ku satisfy what customers want.
-
Keeping up with the latest fashion trends: Fashion trends hukua unstable zina change every now and then, kukeep up with the latest trends ni very tasking and time-demanding sana. Ni poa sana designer akimanage ku read customer mind ndo a come up na solution poa sana ya fashion.
-
Customers kuchoose clothes ambazo ni unfit kwa body shape yao: Hi challenge hukua ngumu sana ambapo ni responsibility ya fashion designer ku educate customer na kuwapewa advice according to styles zitakua attractive to their body shape. So mostly hukua customers fault.
Inconclusion nipoa kusema fashion designing inataka mtu creative na mtu ako na motivation ya kukeep moving forward inataka dedication.
#TujujengeMesh incase kuna article unadai nipitie feel free kureach out.

