Niaje Mesh
Manze venye livity imekuwa, itabidi yout ame-mesh all loops.
Sasa mimi niko na biz ya kuuza na kupromote sports (pool). At the moment, hii game wasee wanaitumia sana kugamble which ina-errode mukuchu for life essentials. Sasa model yangu inataka ku de-risk effects za gambling na kuengage memeber in gig economy. Nadai tuu mnishikanishe na asset ya kufanya deliveries. Hio Arc Ride iko best. Nimekuwa nikiicheki-cheki pale mtandaoni na ninadai kumake next step.
Chezeni kama nyinyi. Mnaweza nistua tupatane hata kam ni kwa ofisi yenu tukicheza pool moja tukichapiana more.
Happy to Mesh-up-di place
0
0
0