Niaje mesh mi ni new kwa hii place, niko na biz ya kupika chipo na frier so naweza taka ku expand biz but rate hii biz inafanya haingizi profit vizuri can you advice pliz..