Niaje mesh. Na 50 bob tu nakutengezea poster kama hii. Delivery naezafanya online. Pia logos natengeneza na 1000 bob.