Niaje mesh nataka kuanza biz ya farming kupanda managu..nimerealise demand iko high Sana na supply ni Kiasi kitu inanisumbua ni capital bro naomba help apo if inawezekana