
Niaje meshars mimi niko kisumu area ya Ahero,nafanya biz ya farming of different aspect vile unaona hapo kwa picha. Every week we hatch 4,200 chicks na tunafanya Free deliveries countrywide. Uneza like page yetu fb At Harvest hope Community Empowerment.




0
0
0