
Niaje Mesher!!!
Kuna challenge nimecheki na imenibamba sana I want to see your thoughts !.
Na hii economy wewe unaweza servive na 1k per week????
Ebu nichapieni hapa kwa comment section. what will be your budget plus bus transport ikiwa hapo depending na place unaishi.
0
0
0