
Niaje Mesher Leo niko na business ideas kama tano 💡
-
Consultancy. Tumia expertise yako eg kama wewe ni daktari kuna apps mingi unaeza join.
-
Content creation. Unaeza anza youtube chanel, web, tiktok, video production, linkedin etc. Post chenye uko comfortable nayo.
-
Selling courses online. Unaeza tumia pratform kama uscreen utengeneze video kadhaa ambazo unaeza uza na 49 USD.
-
Online bookkeeping 📚. Kama wewe ni accountant unaeza tumia platform kama zoho. Utafute clients kama watatu uwafanyie reconciliation at a fee.
-
Ride-share apps business.... Wewe ni dere na uko na gari unaeza tafuta app kama ya ubber, indriver, bolt na upate hata kama unaenda job unaeza washa app utafute clients mnaenda the same directions.
Let us connect. For any querry nipate inbox Visit www.njerumerchants.com