
Niaje #MESHER's, It's a new week na hii story ya #Covid🦠kuna vile ime-affect wasee na stress zime-shoot. Manze tukubuke stress doesn’t come from what’s going on kwa maisha yetu, It comes from our thoughts about what’s going on in our lives.🤔🤔 Tu-maintain #Hustle zetu na tujaribu tu-avoid kua stressed. #Tujaliane #MentalHealth #Biz #
0
0
0