
🔊 Niaje MESHer wa nguvu!🙌🏿 Did you know kila wiki tuko na #MESHChallenge?! 🤔 Hii ni group yetu ya ku-share ideas kibao za Biz, ku-hustle na life in general! This week, wasee wanashare ideas za #Biz unaeza anza with low #Capital lakini unaeza pata high #Profits ukicheza fiti 💯
ku-participate ni simple sana; Ingia kwa #MESHGroups utafute group ya #MESHChallenges. Utacheki the current challenge hapo. Participate by sharing your ideas and thoughts. #Simple and #Straight to the point. Alafu benefits za ku-participate ni kibao! Top 3 winners watapata chance ya ku-market #Biz zao kwa #Community ya MESH
Participate today and get the Golden Opportunity ya ku Ji-market! #MESHCHallenges #IdeasZaBiz #SisiNiMESH
0
0
0