
Niaje meshers, AMG wako na form ingine kali ya kusaidia mayouth kupata shamba. Wengi wetu hatukuachiwa kashamba na hii ni our opportunity. Vijanaa take advantage of this opportunity hata wewe uache ka legacy. Hii shamba same, ukiwa under 30 years, unapata na discount ya 30 k. Unalipa tu 120 k badala ya 150 k. Na unaweza lipa na hadi instalments. https://wa.me/254757738659. Check website yao alafu utext hiyo number, upelekwe na rada


0
0
0