Niaje Meshers,,
Clout chasing hukuwa na posive impacts kwa life ya msanii🤔 is it; A.True B.False Ebu tuchapiane hapa meshers hii clout chasing hukua na impact kwa hii creative art industry?