
Niaje meshers hapo kwa cuso mi husema familia na biashara ziko mbali sana unless ni ktu very important hapo nitaelewa. On the other side kama client ni loyal na tumefanya kazi miaka most pamoja hapo tutacompromise na pia anaeza acha deposit nimuekee hiyo product ama niweke designs zangu watermark juu hii pia ita encourage customer alipe haraka atumie hizo designs.
0
0
0