Niaje Meshers hope iko fiti kuna kitu mmoja inanisumbua na kujaribu kuhawk hizi bags nimekuwa nikipost hapa online .Mi nastay mji wa Kitengela na sadly most madem nimerealize wenye wako interested hawafiki bei ama kuna wengine wanataka niiuze bei below production cost ya kuunda hizi bags juu nimerealize bags nauza wasichana wenye either they earn salry mingin ama wenye ni ma CEO ama wenye ni rich class ndio nimeona wanaeza afford hizi bags nauza bila kubargain but sasa sijui hawa rich people nitaconnect nao aje ju nimeona church nitapata kadhaa but ningependa kama Naeza pata a whole market of them nitashukuru ju nimeona online itachukua time before nipate any interested kuna msee anaeza niadvice vile naeza jiposition at least ni link up na such kind of clients?