Niaje Meshers hope uko poa .Kwa warembo wenye mnapenda Ma Tote Bag nina moja hapo welowelo sana.Hii bag ina design inaitwa Greek Key yenye hutumika na Versace but sasa iko na African touch. Canvas Yake ni heavy duty ensuring inalast 4-6 years if used lightly.Hii bag iko spacious ndani unaweza weka laptop documents,tablets na essentials nyingine na bado haitajaa.Inaeza tumika ya kwenda mboka kuingia kanisa ama kuenda maevent za maluku .Kama uko interested DM on 0745045393 tubonge biz
0
0
0