
Niaje Meshers I miss you sana. Lately nimekua busy kiasi na tena Elections inakuja na a lot.
Sasa nawatakia amani maze #tusibleedndiowalead
Ukiwa Online kwa social media yoyote search and post na hashtag #arnestdigits #mojo #MojoReporter utakua unanispport maze.
Nitaona your message


0
0
0