
Niaje meshers just a word of advice sai ni end month na watoi wamefunga shule make the most of out it. Watoi wakirudi shule inamaanisha wazazi lazma walipe fees na doh itapotea tena. For those wanashidwa wanaweza fanya nini endeni mchukue ice pop muanze nayo mkifikiria what to do next
Tuzidi kujengana 💪🏾
0
0
0