
Niaje Meshers kama before niliwachapia me ni mtu Cinema. Unaeza promote biz yako na design ya video na graphics.. Wasee mob wako interested kuji market.. na juu pia me naji market natoa deal itawaokolea.
Tunafanya rate ya 50% off the price tunge charge as a team kufanya video after kubonga.. Ni easier rates ni tofauti kwa kila biz .. Drop biz yako hapo chini ndyo tujibonge si wote wote.. na drop social media handle yangu hapo muon3 shuguli nimepiga.. na si kubahatisha.. una invest place unajua utapata reward.




0
0
0