
🙌Niaje MESHERS!! Kuomoka Challenge imeanza leo!
Episode 1 ya Kuomoka challenge isha-drop kwa reels on MESH.
đź’ŞMillie anatushow vile unafaa ku-track Income na Expenses zako na ku-record doh una make na expenses zote unalipa.
Cheki reel hapa: https://mesh.life/app/watch...
Then start ku-apply hizo tips this week. Tuchapiane kwa comments!

0
0
0