
Niaje Meshers, Kusema kweli nimewahata mbaya!
Nani anaona biashara kama zooote zimekuwa down aki,ama ni huku kwetu?๐ฃ
Nilipose for this pic kwa biz (2019) nikiwa furaha isiyo kuwa na kifani๐๐! Sales nilikuwa namake vipoa Sana lakini sai ni machos tu!Hebu tuchapiane pale kwa comment section tusingizie corona ama cyber business is not catchy anymore????
#SisiNiMesh #ShujaazBiz #Tujijenge
0
0
0