
Niaje Meshers!!!
Kwa Business What is the Biggest Money Mistake Umewahi fanya??
For me nilipartner na mabeste wangu kufungua bizz hopping itatupea profit every month, but in the end nilinotice we did not share the same business goals and values na mabeste wangu. I ended up losing alot of money.
Ebu nichapieni hapa kea comment section šššššš ni Mistake gani umewahi fanya kwa bizz na dooh zako?

0
0
0