
⏩ Niaje MESHers!😎
Last year, MESH ilifanya collabo kali na partners wetu Arifu, walitengeneza 9 Free courses za ku-jenga MESHers na ideas kibao kuhusu Biz na vile tunaeza tumia online Apps kujenga Biz zetu digitally. 📲 Sahii, unaeza get hizi courses via SMS ama WhatsApp, course moja ni kama 5 minutes hivi na ukimaliza utajengwa na Certificate!📃
Ku-anza hizi courses kali, tuma SMS starting with the word BIZZ kwa 22744 ama uneaza tuma WhatsApp starting with the word BIZZ kwa +254735040081

0
0
0