
Niaje MESHers leo niko hapa kupromote an online safety tool. Siku hizi scammers wamekua wengi sana na imekua tricky sana kujua mtu legit ama mtu atakurambisha vumbi. Hii ni online escrow tool (a trusted third party) inaitwa Lipasafe. Huwa inaprotect deals zako online so whether unadai kuuza mali yako yoyote utakua safe from scammers na frauds.
Process yake ni easy
-
Buyer na Seller wanakagua mali na wakiverify iko safe na everything iko sawa, wanaagree on terms.
-
Buyer anasubmit payment to Escrow(Trusted agent mwenye atashikilia hio doh as delivery takes place).
-
Seller Delivers service or good to the buyer (Delivery Process).
-
Buyer Approves good or services (Kuensure mali ni legit na iko as advertised)
-
Lipasafe releases payment to the seller. (Mnaorder seller alipwe)
Lipasafe.com itakuprotect against kuoshwa online and we only release payment after verification from the buyers end so we protect both buyer and seller confidence when making transactions online.
Usiende online kulia once umeoshwa yet kulikua na safety net.
Secure Deals Zako leo with https://lipasafe.com.
More on the product coming soon, check it out and ask all the questions, tuko hapa kujengana.