
Niaje MESHers! Leo tunadai kubonga juu ya benefits za kulipa Loans on time ππΏππΏ
Of late, kwanza na hii noma ya #COVID19, wasee wengi wamekua wakichukua Mobile #Loans alafu wanashindwa kulipa for one reason or the other. As much as life imekua hard, kulipa loan kama mse wa #Biz iko na #Benefits mob sana;
-Ya kwanza ni, ku-build credit score yako. Ukiwa na credit score fiti, utapata opportunity ya kupata even better loans in future.
-Ku-build trust ya wasee, kama wewe ni mse trust worthy, kupata loan ingine itakua rahisi sana na utaendelea kujenga #Biz yako
-Pia, inakufundisha financial discipline, skill muhimu sana kwa wasee wote wanataka kua successful kwa Biz.
Ni benefits gani zingine za kulipa loans? #BizLoans
0
0
0