
Niaje Meshers. Leo wacha ni highlight some of the ventures zenye unaweza make doh nazo 2023 hapa online. But always remember the first step ni kupata skill. Na pia usisahau kupiga research ya kutosha.
- Transcription
- Online writing
- Virtual Assistant
- Dropshipping
- Online shop
- Crypto trading 7.Forex
- Investments- Treasury Bonds -Money market fund -Company shares -Saccos Mnaeza pia add yoyote yenye sijamention hapo kwa comments. Tujengane 2023💪
0
0
0