Niaje Meshers, mimi naitwa Polycarp Makori. Niko na experience in Digital marketing, social media brand awareness and promotion na mimi pia ni content creator. Ukitaka social media accounts zako ziwe managed na uone growth in followers and impressions mimi ndo msee wako hapa. Niko na over 2 years experience na najiamini najua kazi yangu. Ukitaka kujua zaidi unaeza nicall ama whatsapp 0711198115 au email @polycarpmakori20@gmail.com. Asanteni
0
0
0