
Niaje MESHers... Mimi ni msanii... So kuna vile nikona ngoma kadhaa (mbili YouTube https://youtu.be/YtgvAKs7DTQ) lakini sasa sina camera ya kushoot our next video... Hio ndio hustle yangu... Sjui ka msee anaeza kua na access ya camera aniokolee niendelee kuskuma kipaji😊
0
0
0