
Niaje meshers. Mko fiti? Hope tunaelewa venye merry-go-round huwa zinawork. Mara mob wasee wanakam pamoja kuweka dooh pamoja then members wanachukua loan from hapo. Kitu moja nililearn kutoka merry-go-rounds ni members wakiomba loan na wakose ama wachelewe kulipa inafnya other members wenye hawajachukua loan kukosa. Inaitwa merry-go-round because dooh zinaenda round.
Same pia na loans tu za kawaida. Ukichukua loan ni idea fiti kurepay loans ili wenzetu pia waezekuborrow. Tukishikilia hiyo dooh tunalimit wengine kusaidika kujijenga kwa biz zao. Tukiomba loan as members tusisahau kulipa wasee wengine pia wajengwe. #LOANS #BIZ #LOANREPAYMENT
0
0
0