Niaje Meshers, mtu tafadhali aniambilie a legit online biz platform hizi za kulipwa na views. Kama kuna referrals zinahitaji na capital ya ku start.
Nataka kurudi online biz, be honest tafadhali.