
Niaje MESHers na Team Haircutz, mi naitwa Sam na mimi ni web designer. Mi hudesign landing pages zenye zitakuhelp kushowcase mboka vifiti. I think kwa vinyozi nabongesha watu wa Massage pia.
Hii Landing Page ni nini?
-
Landing page ni kama online portfolio yako, Ina kazi wewe hufanya, times unaoperate, services unaoffer na pia kama una products unazo pia unaezalist.
-
Hii itakuhelp kwa biashara kukaa very professional.
-
Ina booking engines plus services clients wataexpect toka kwako so itakusaidia kumanage time yako na bookings zazko vizuri sana.
-
Kama una wasee wako interested kuanza mboka yao unaweza organize trainings.
-
Utagrow kitu inaitwa email list where you can keep touch na wasee wako, promote offers na advise za grooming, skincare na vitu zingine.
-
Bookings zako unawezaeka pricing so for every session unapata utajua ni how mch umemake per session.
Landing page iko ready for review on: https://tranquilhavenspa.cr...
Ipitie then ulete feedback ya vile tunaezaituamia kufikia clients wako wengi, hii pia can apply to wasee wana salons na nailtechs pia.
We rise by lifting others so let's connect, let's learn, let's earn and let's grow together.



