
Niaje Meshers. Naitwa Ken Muriuki.
Hua nafanya carpentry and Joinery, Fittings. Cabinets za Biz Yako na shelves naweza kuundia kwa bei poa na kazi safi. Naweza operate within Nairobi na out of Nairobi.
Desks za ofisi, shoes racks, TV mounting na ujenzi ya ndani.




0
0
0