Niaje meshers.Naitwa Mesh na Mimi huuza Pishori Pure.Mchele Yangu ni quality na kama unakuanga mchoyo labda upike magizani juh ile aroma ikonayo itaamsha majirani.Unaeza Beba ata yakupeleka ocha.