Niaje Meshers, nasupply WATERPROOF pvc stickers. Stickers ni NON-FADE na unaweza weka just anywhere.
That is: Walls Laptop Phones Chupa za maji Phone case Kofia(stand na baseball) Car windows na body pia
Wewe wa kuuza chupa za maji na phone case unaweza fanya VALUE ADDITION na izi stickers na uuze bei poa.
Bei ni 15 BOB tu wholesale price.
Karibu 🤝




0
0
0